Uncategorized
Mtoto wa umri wa siku 2 aokolewa na polisi baada ya mamake kumtupa chooni Bungoma
Mtoto wa umri wa siku mbili anapokea matibabu katika hospitali ya Webuye baada ya kuokolewa na maafisa wa polisi kutoka kwa shimo la choo alikotupwa na mamake mzazi. Mama huyo Malin Khayanga mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya St. Thomas Misihu alimtupa mwanawe chooni baada ya kujifungua mtoto msichana japo aliwahadaa jamaa zake kuwa alikuwa amekula chakula chenye sumu kilichomsababishia maumivu ya tumbo.
Naye mamaye msichana huyo kwa jina Eunice Wambani anataja furaha yake baada ya mjukuwe kuokolewa
- UEFA Champions League; Feyenoord vs Leverkusen Full Time Results
- Douglas Kanja Biography, Place of Birth, Age, Family, Education and Net worth
- Neema Citizen Tv show Cast, actors Full List, Real names, Life and Biography
- No more NHIF admissions as the governments SHIF takes full effect
- Neema Citizen Tv Actress Biography, Real Name, Tribe, age and Net-worth