Kanyaga
(Woo, woiyo ooh woiyo ooh)
It’s Platnumz, Zombie
(Woo, woiyo ooh woiyo ooh)
Its S2kizzy beiby
Â
Ati kanyaga ka ana pigo za unafiki
Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki
Kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi
Hakulishi, hakuvishi kwani vipi?
Â
Kanyaga
Wazee wa shombo kudandia, kanyaga
Klabu kuomba omba bia, kanyaga
Slay queens vitisho vya bandia
Ukivipa hai ati madai vinavimbia
Â
Kanyaga!
Uzushi, Kanyaga!
Mashemu feki, Kanyaga!
Nuksi, Kanyaga!
Kudadadeki, Kanyaga!
Mawifi, Kanyaga!
Mpaka ma ex, Kanyaga!
Mikosi, Kanyaga!
Woooya Kanyaga!
Â
Â
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Â
Yii, Kanyaga! Kanyaga!
Kama unanicheza zangu
Kanyaga! Kanyaga!
Wale wakuda wadaku
Kanyaga! Kanyaga!
Yeah, kidaku daku
Kanyaga! Kanyaga!
Wajue hizi namba chafu
Â
Â
Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Â
Ooh yeah eeh
Siku hizi watu wanataka money
So nikimuita aku kosti, Kanyaga!
Kunitumia mipicha pigo gani?
Ati basi day nikuposti (oh yeah yeah)
Â
Kadi za harusi kuchanga changa, Kanyaga!
Wakati mwenyewe nina majanga, Kanyaga!
Sina godoro sina kitanda
Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii)
Â
Kama buti la mugambo, Kanyaga!
Wavuruga mipango, Kanyaga!
Wazee wa Insta michambo
Ati ‘baby niunge bando’
Â
Kanyaga!
Uzushi, Kanyaga!
Mashemu feki, Kanyaga!
Nuksi, Kanyaga!
Kudadadeki, Kanyaga!
Mawifi, Kanyaga!
Mpaka ma ex, Kanyaga!
Mikosi, Kanyaga!
Woooya Kanyaga!
Â
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Â
Yii, Kanyaga! Kanyaga!
Kama unanicheza zangu
Kanyaga! Kanyaga!
Wale wakuda wadaku
Kanyaga! Kanyaga!
Â
Yeah, kidaku daku
Kanyaga! Kanyaga!
Wajue hizi namba chafu
Â
I say leeeooo..
Usiku hatulali, tunakesha kama popo
Leo, leo
Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako
Â
Asa timba, timba timba (timbaaa)
Wanangu timba (timbaaa)
Wao kula kushoto (timbaaa)
Kula kulia (timbaaa)
Â
I say timba, timba timba (timbaaa)
Oyaa wahuni timba (timbaaa)
Kama unazikili (timbaaa)
Mchaka kabisa akili (timbaaa)
Â
Kimya!