Dala Dala Lyrics
Kwa mapenzi kipofu macho hayana tongo Hayana mwenyewe ya maridhiano Pretty anakata mamodo na ana chongo Tell me who do you love?
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});Upendo wa kwa yai huwezi fosi moyo Asokupenda mpe kisogo Tusipotezeane time usilete nyodo Tell me who do you love?
I need some love now Some real love now wouwo Yalonikuta sitamani Nipe pombe nimwage radhi I need some love now Some real love wouwo Yalonikuta sitamani Nipe pombe nimwage radhi
Dala dala, oooh mapenzi safari Ukiridhia ndo hundondoki(dala dala) Ila yanaweza kukosti Yanaweza kukosti(dala dala) Oooh mapenzi safari Ukiridhia ndo hundondoki(dala dala) Ila yanaweza kukosti Yanaweza kukosti(dala dala)
Ooh waiter njoo Ooh waiter njoo Ooh waiter njoo Ooh waiter njoo Leta pombe leta pombe Umeivisha,
umewezesha Na kuna venye mafisi unawatesa Jo ulifanya niwachane na Mellisa, Patricia, Vannesa ata na Teresa Mama niko solo sina keja ni lojo Gizani utalamba ukidai kukiona Akifika area nda msokonya Wabebe na kiondo ukiguza kanyondo Fika ka ni toto chini ya waba uwache ukoko Nikikupa silver, goro nitapea Kamene Ju mi ni girimba kuwa share kama meme Ku-cuff na uloyal zote niliachanga tene This time nina roho ya fisi ukitaka ikembe Chuna kindovu baadae ukaikate pembe Kiuno nyongoa ukaikate ka kadere Napenda kwa ndolo ukinivishanga pete Ju sura si mbovu, kumbao si lazma tembe I need some love now Some real love now wouwo Yalonikuta sitamani Nipe pombe nimwage radhi I need some love now Some real love now wouwo Yalonikuta sitamani Nipe pombe nimwage radhi Dala dala, oooh mapenzi safari Ukiridhia ndo hundondoki(dala dala) Ila yanaweza kukosti Yanaweza kukosti(dala dala) Oooh mapenzi safari Ukiridhia ndo hundondoki(dala dala) Ila yanaweza kukosti Yanaweza kukosti(dala dala) Ooh waiter njoo Ooh waiter njoo Ooh waiter njoo Ooh waiter njoo Leta pombe leta pombe Ngori ooh ngori(upweke) Yameshika ni ngori(upweke) Nimelewa sina worry(upweke) Basi nibebwe kwa tiroli(upweke) Ngori ooh ngori(upweke) Yameshika ni ngori(upweke) Nimelewa sina worry(upweke) Basi nibebwe kwa tiroli